MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJITOKEZA KWENYE BIRTHDAY YA ERASTO THE NINJA TAREHE 1 JANUARI.
Ni baada ya kumwagiwa maji na marafiki.
Maji hayakuwa ya dunia hii
Class mate pia walikuwepo
Raia wengine hawakucheza mbali
Baadhi ya wasanii wa UDOM wakiongozwa na Mhayudi wa kwanza kushoto.
Ilikuwa ni picha ya mwaka.
Asante sana kwa support yenu wadau wangu wa nguvu.








Dondosha comment yako
JibuFutaDondosha comment yako
JibuFuta